Publicidade

2 Timóteo 2

16 Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu.17 Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto.

Veja também

Publicidade
2 Timóteo
Ver todos os capítulos de 2 Timóteo