3 Hapana kitu chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa katika mji huo. Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwanakondoo kitakuwa katika mji huo, na watumishi wake watamwabudu.4 Watauona uso wake, na jina lake litaandikwa juu ya paji za nyuso zao.
Publicidade
Apocalipse 22
Veja também
Publicidade