36 Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia Barnaba, "Turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la Bwana tukajionee jinsi wanavyoendelea."

41 Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia akiyaimarisha makanisa.