35 Nimekuwa nikiwapeni daima mfano kwamba kwa kufanya kazi mithili hiyo tunapaswa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe: Heri zaidi kutoa kuliko kupokea."36 Baada ya kusema hayo, Paulo alipiga magoti pamoja nao wote, akasali.37 Wote walikuwa wanalia; wakamwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.38 Jambo lililowahuzunisha zaidi lilikuwa neno alilosema kwamba hawangemwona tena. Basi, wakamsindikiza hadi melini.
Publicidade
Atos 20
Veja também
Publicidade