28 Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. ((29 Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa,30 maana sisi ni viungo vya mwili wake.)
Publicidade
Efésios 5
Veja também
Publicidade