Publicidade

Efésios 6

1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu Kikristo maana hili ni jambo jema.2 "Waheshimu Baba na mama yako," hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,3 "Upate fanaka na miaka mingi duniani."4 Nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya Kikristo.

Publicidade

Veja também

Publicidade
Efésios
Ver todos os capítulos de Efésios