33 Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika moyoni.34 Kisha akawauliza, "Mlimweka wapi?" Wakamwambia, "Bwana, njoo uone."35 Yesu akalia machozi.
Publicidade
João 11
Veja também
Publicidade