8 Naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya Mungu.9 Wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini;10 kuhusu uadilifu, kwa sababu naenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;11 kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Publicidade
João 16
Veja também
Publicidade