Publicidade

Lucas 1

46 Naye Maria akasema,47 "Moyo wangu wamtukuza Bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya Mungu Mwokozi wangu.48 Kwa kuwa amemwangalia kwa huruma mtumishi wake mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye heri.49 Kwa kuwa Mwenyezi Mungu amenitendea makuu, jina lake ni takatifu.

Veja também

Publicidade