18 Yesu akauliza: "Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?19 NI kama mbegu ya haradali aliyotwaa mtu mmoja na kuipanda shambani mwake; ikaota hata ikawa mti. Ndege wa angani wakajenga viota vyao katika matawi yake."
Publicidade
Lucas 13
Veja também
Publicidade