1 Siku moja, watoza ushuru na wahalifu wengi walikwenda kumsikiliza Yesu.

2 Mafarisayo na walimu wa Sheria wakaanza kunungunika: "Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao."