Publicidade

Lucas 2

4 Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya. Kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yuda alikozaliwa Mfalme Daudi.5 Alikwenda kujiandikisha pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mja mzito.

Veja também

Publicidade