43 Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkuu kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.44 Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.45 Maana Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, ila alikuja kutumikia, na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi."
Publicidade
Marcos 10
Veja também
Publicidade