28 "Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote;

29 lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele."