28 "Kweli nawaambieni, watu watasamehewa dhambi zao zote na kufuru zao zote;29 lakini anayesema mabaya dhidi ya Roho Mtakatifu, hatasamehewa kamwe; ana hatia ya dhambi ya milele."30 Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, "Ana pepo mchafu.")
Publicidade
Marcos 3
Veja também
Publicidade