26 Lakini kwenu isiwe hivyo, ila yeyote anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;27 na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.28 Jinsi hiyohiyo, Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi."
Publicidade
Mateus 20
Veja também
Publicidade