36 Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya.37 "Yerusalemu, Ee Yerusalemu! Unawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako. Mara ngapi nimejaribu kuwakusanya watoto wako kwangu, kama vile kuku anavyokusanya vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka.38 Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame.
Publicidade
Mateus 22
Veja também
Publicidade