33 Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, "Mahali pa Fuvu la kichwa,"34 wakampa mchanganyiko wa divai na nyongo. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.35 Walimsulubisha, kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura.
Publicidade
Mateus 27
Veja também
Publicidade