59 Yosefu akauchukua ule mwili akauzungushia sanda safi ya kitani,60 akauweka ndani ya kaburi lake jipya alilokuwa amelichonga katika mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango wa kaburi, akaenda zake.
Publicidade
Mateus 27
Veja também
Publicidade