2 Ghafla kutatokea tetemeko kubwa la nchi; malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akalivingirisha lile jiwe, akalikalia.3 Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.4 Walinzi wa lile kaburi wakatetemeka kwa hofu kubwa, hata wakawa kama wamekufa.
Publicidade
Mateus 28
Veja também
Publicidade