Publicidade

Mateus 6

2 "Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao.3 Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata rafiki yako asijue ufanyalo.4 Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Veja também

Publicidade