Publicidade

Romanos 5

3 Naam, si hayo tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba taabu huleta saburi,4 nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.5 Tumaini hilo haliwezi kutuhadaa, maana Mungu amekwisha miminia mioyoni mwetu upendo wake kwa njia ya Roho Mtakatifu aliyetujalia.

Veja também

Publicidade