Publicidade

Romanos 6

20 Mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa huru mbali na uadilifu.22 Lakini sasa, mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uzima wa milele.

Publicidade

Veja também

Publicidade