24 Maskini miye! Nani atakayeniokoa kutoka katika mwili huu unaonipeleka kifoni?25 Shukrani kwa Mungu afanyaye hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo! Hii basi, ndiyo hali yangu: mimi binafsi, kwa akili yangu, ninaitumikia sheria ya dhambi.
Publicidade
Romanos 7
Veja também
Publicidade