Publicidade

Tiago 5

17 Eliya alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha nchini kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.18 Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake.

Veja também

Publicidade
Tiago
Ver todos os capítulos de Tiago