Pular para o conteúdo
Publicidade

Amizade

Por Bíblia Online

A amizade é um dos dons mais preciosos da vida. A Bíblia celebra amizades profundas — Davi e Jônatas, Rute e Noemi, Paulo e Timóteo — modelos de lealdade, fé e amor.

Valor da amizade

Há amigo mais chegado do que um irmão. Em todo tempo ama o amigo. A amizade verdadeira permanece nas tempestades.

Mtu aliye na rafiki wasioaminika huangamia upesi,

bali yuko rafiki anayeambatana na mtu kwa karibu kuliko ndugu.

Mtu aliye na rafiki wasioaminika huangamia upesi,

bali yuko rafiki anayeambatana na mtu kwa karibu kuliko ndugu.

Rafiki hupenda wakati wote

naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida.

Rafiki hupenda wakati wote

naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida.

Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo,

bali yeyote arudiaye jambo huwatenganisha rafiki wa karibu.

Kama vile chuma kinoavyo chuma,

ndivyo mtu amnoavyo mwenzake.

Kama vile chuma kinoavyo chuma,

ndivyo mtu amnoavyo mwenzake.

Manukato na uvumba huleta furaha moyoni,

nao uzuri wa rafiki huchipuka

katika ushauri wake wa uaminifu.

Manukato na uvumba huleta furaha moyoni,

nao uzuri wa rafiki huchipuka

katika ushauri wake wa uaminifu.

Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako,

tena usiende nyumbani mwa ndugu yako

wakati umepatwa na maafa.

Bora jirani wa karibu

kuliko ndugu aliye mbali.

Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako,

tena usiende nyumbani mwa ndugu yako

wakati umepatwa na maafa.

Bora jirani wa karibu

kuliko ndugu aliye mbali.

Afadhali karipio la wazi

kuliko upendo uliofichika.

Majeraha kutoka kwa rafiki yaonesha uaminifu,

lakini adui huzidisha busu.

Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima,

bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara.

Mtu mpotovu huchochea ugomvi,

nayo maongezi ya upuzi huwatenganisha rafiki wa karibu.

Msemo 3

Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka,

usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika,

la sivyo utajifunza njia zake

na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego.

Amizade cristã

Vós sois meus amigos se fazeis o que eu mando. Jesus nos chama de amigos — que honra imensa e responsabilidade!

Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.

Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.

Siwaiti ninyi watumishi tena, kwa sababu watumishi hawajui bwana wao analofanya. Bali nimewaita ninyi rafiki, kwa maana nimewajulisha mambo yote niliyoyasikia kutoka kwa Baba yangu.

Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.

Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.

Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuwapa karama za rohoni ili mwe imara, au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.

Mwenyezi Mungu ni pendo

Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.

Wapendwa, kama Mungu alivyotupenda sisi, imetupasa na sisi kupendana. Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini tukipendana, Mungu anakaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.

Naye ametupatia amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.

Exemplos bíblicos

Davi e Jônatas fizeram aliança de amizade. Rute se apegou a Noemi. Abraão foi chamado amigo de Deus.

Sauli amwonea Daudi wivu

Baada ya Daudi kumaliza kuongea na Sauli, roho ya Yonathani ikaambatana na roho ya Daudi, naye akampenda kama nafsi yake mwenyewe. Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani mwa baba yake. Yonathani akafanya agano na Daudi kwa sababu alimpenda kama nafsi yake mwenyewe.

Yonathani akafanya agano na Daudi kwa sababu alimpenda kama nafsi yake mwenyewe.

Daudi na Mefiboshethi

Daudi akauliza, "Je, hakuna mtu hata mmoja wa nyumba ya Sauli aliyebaki ambaye naweza kumtendea wema kwa ajili ya Yonathani?"

Lakini Ruthu akajibu, "Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakoenda nami nitaenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu. Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. Mwenyezi Mungu na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo."

Kwa njia hiyo likatimizwa andiko lisemalo, "Ibrahimu alimwamini Mungu, na ikahesabiwa kwake kuwa haki," naye akaitwa rafiki wa Mungu.

"Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake,

hata akiacha uchaji wa Mwenyezi.

Ninyi wanaume na wanawake wazinzi, hamjui kwamba urafiki na dunia ni uadui na Mungu? Kwa hiyo mtu yeyote anayetaka kuwa rafiki wa dunia hufanyika adui wa Mungu.

Companheirismo

Dois são melhores do que um. Quão bom e suave é que os irmãos vivam em união! A amizade fortalece e edifica.

Wawili ni afadhali kuliko mmoja,

kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao:

Kama mmoja akianguka,

mwenzake atamwinua.

Lakini ni jambo la kuhuzunisha

kwa mtu yule aangukaye

naye hana wa kumwinua!

Kama mmoja akianguka,

mwenzake atamwinua.

Lakini ni jambo la kuhuzunisha

kwa mtu yule aangukaye

naye hana wa kumwinua!

Ingawa mtu mmoja aweza kushindwa,

watu wawili wanaweza

kumkabili adui na kumshinda.

Kamba ya nyuzi tatu

haikatiki kwa urahisi.

Wawili ni afadhali kuliko mmoja,

kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao:

Sifa za pendo la undugu

Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza

ndugu wanapoishi pamoja katika umoja!

Sifa za pendo la undugu

Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza

ndugu wanapoishi pamoja katika umoja!

Ni kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani,

yakitiririka kwenye ndevu,

yakitiririka kwenye ndevu za Haruni,

hadi kwenye upindo wa mavazi yake.

Ni kama umande wa Hermoni

ukianguka juu ya Mlima Sayuni.

Kwa maana huko ndiko Mwenyezi Mungu alikoamuru baraka yake,

naam, uzima hata milele.

Mungu huwaweka wapweke katika jamaa,

huwaongoza wafungwa wakiimba,

bali waasi huishi katika nchi kame.

waheshimu baba yako na mama yako, na umpende jirani yako kama nafsi yako."

Msidanganyike: "Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema."

Msidanganyike: "Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema."

Seja o primeiro