Bíblia Hoje
Ndipo mataifa yanayowazunguka yaliyobakia watajua kuwa Mimi Mwenyezi Mungu nimejenga tena kile kilichoharibiwa, na nimepanda tena kile kilichokuwa ukiwa. Mimi Mwenyezi Mungu nimenena, nami nitalifanya.’
Ezequiel 36:36Baada ya hili nikatazama na hapo mbele yangu palikuwa na umati mkubwa wa watu ambao hakuna yeyote awezaye kuwahesabu, kutoka kila taifa, kila kabila, kila jamaa na kila lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi na mbele ya Mwana-Kondoo. Walikuwa wamevaa mavazi meupe na wakiwa wameshika matawi ya mitende mikononi mwao. Nao walikuwa wakipaza sauti kwa nguvu, wakisema: "Wokovu una Mungu wetu, yeye aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo!"
Apocalipse 7:9,10Provérbios 24 exalta a sabedoria e a justiça, mostrando que a preguiça e a maldade levam à ruína.
Provérbios 24O Salmo 117, o mais curto, convida todas as nações a louvar a Deus pela Sua fidelidade e misericórdia eternas.
Salmos 117