Sifa za Mwenyezi Mungu
1 Msifuni Mwenyezi Mungu, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2 Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa Mwenyezi Mungu unadumu milele.
Msifuni Mwenyezi Mungu.117:2 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.