Publicidade

Salmos 134

Wito wa kumsifu Mwenyezi Mungu
Wimbo wa kwenda juu.

1 Msifuni Mwenyezi Mungu, ninyi nyote watumishi wa Mwenyezi Mungu,

ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu.

2 Inueni mikono yenu katika patakatifu

na kumsifu Mwenyezi Mungu.

3 Naye Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia,

awabariki kutoka Sayuni.

Veja também

Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-16_18-40-07-