Pular para o conteúdo
Publicidade

7 ensinamentos de Jesus para uma vida plena

Por Bíblia Online  - 

Jesus nos deixou ensinamentos que transformam vidas e podemos acompanhar diversos momentos em que isso foi mostrado na Bíblia. Veja a seguir 7 ensinamentos Cristo que podem trazer paz e plenitude espiritual.

Lista de ensinamentos:

1. Mateus 22:37-39

Isa akamjibu, " Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: Mpende jirani yako kama nafsi yako.

2. Mateus 18:21-22

Kusamehe mara ngapi?

Kisha Petro akamwendea Isa na kumuuliza, "Bwana, ni mara ngapi nimsamehe ndugu yangu akinikosea? Hadi mara saba?"

Isa akamjibu, "Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

3. Mateus 5:44

Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu, na waombeeni wanaowatesa ninyi,

4. Mateus 7:1

Kuwahukumu wengine

"Usihukumu ili usije ukahukumiwa.

5. Mateus 6:33

Lakini utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.

6. Mateus 23:12

Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa.

7. João 14:1

Isa awatia moyo wanafunzi wake

Isa akawaambia, "Msifadhaike mioyoni mwenu. Mnamwamini Mungu, mniamini pia.

Esses versículos te ajudaram? Então compartilhe esses ensinamentos de Jesus com seus amigos e ajude a espalhar a palavra de Cristo.

Deus abençoe!

Seja o primeiro