Pular para o conteúdo
Publicidade

Honrar os pais

Por Bíblia Online

Honrar pai e mãe é mandamento de Deus com promessa de vida longa e feliz. A Bíblia ensina que respeitar, obedecer e cuidar dos pais é dever sagrado dos filhos.

O mandamento com promessa

Honra a teu pai e a tua mãe para que vá bem contigo e vivas muito tempo sobre a terra. É o primeiro mandamento com promessa.

Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Mwenyezi Mungu, Mungu wako.

Waheshimu baba yako na mama yako, kama Mwenyezi Mungu, Mungu wako, alivyokuagiza, ili siku zako zipate kuwa nyingi na kufanikiwa katika nchi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, anayokupa.

"Waheshimu baba yako na mama yako," hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, "upate baraka na uishi siku nyingi duniani."

Mafundisho kuhusu watoto na wazazi

Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana Isa, kwa kuwa hili ni jema. "Waheshimu baba yako na mama yako," hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, "upate baraka na uishi siku nyingi duniani."

Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana Isa.

Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hii inampendeza Bwana Isa.

Obedecer e respeitar

Filhos, obedecei a vossos pais no Senhor. Ouvir a instrução do pai e não desprezar o ensino da mãe traz sabedoria.

Onyo dhidi ya ushawishi wa rafiki waovu

Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako,

wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

Onyo dhidi ya ushawishi wa rafiki waovu

Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako,

wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako,

na mkufu wa kuipamba shingo yako.

Hekima ni bora kupita vyote

Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba;

sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu.

Mema ya muda mfupi na yale ya kudumu

Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye,

bali mwenye dharau hasikilizi maonyo.

Msemo 17

Msikilize baba yako, aliyekuzaa,

wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee.

Isa akawajibu, "Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? Kwa maana Mungu alisema, Waheshimu baba yako na mama yako,na, Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.

Isa akawajibu, "Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? Kwa maana Mungu alisema, Waheshimu baba yako na mama yako,na, Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu,basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu.

Consequências da desonra

A Bíblia adverte severamente contra a desonra aos pais. Quem amaldiçoa ou agride os pais enfrenta consequências sérias.

Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake

ni mwana aletaye aibu na fedheha.

Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake,

taa yake itazimwa katika giza nene.

"Jicho lile limdhihakilo baba,

lile linalodharau kumtii mama,

litang’olewa na kunguru wa bondeni,

litaliwa na tai.

"Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe.

Hatari za siku za mwisho

Lakini yakupasa ufahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari. Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu, wasio na upendo, wasiopenda kupatanishwa, wasingiziaji, wasiozuia tamaa zao, wakatili, wasiopenda mema,

Cuidar dos pais

Quem não cuida dos seus, principalmente de sua família, negou a fé. Honrar os pais inclui respeitar os idosos.

Kama mjane ana watoto ama wajukuu, hawa inawapasa awali ya yote wajifunze kutimiza wajibu wao wa kumcha Mungu katika matendo kwa kuwatunza wale wa jamaa zao wenyewe, na hivyo wawarudishie wema waliowatendea wazazi wao, kwa kuwa hivi ndivyo inavyompendeza Mungu.

Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.

" Kila mmoja wenu ni lazima amheshimu mama yake na baba yake, na pia ni lazima kuzishika Sabato zangu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.

" Ukiwa mbele ya mzee, simama ili kuonesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.

Seja o primeiro