Pular para o conteúdo
Publicidade

Namoro e sexo

Por Bíblia Online

Namoro e sexo são temas que a Bíblia trata com clareza e sem tabus. Deus criou o sexo como bênção dentro do casamento e nos chama à pureza fora dele.

Pureza sexual

A vontade de Deus é a santificação. Cada um saiba controlar seu próprio corpo em santidade e honra, não na paixão do desejo.

Mapenzi ya Mungu ni ninyi mtakaswe, ili mjiepushe na uasherati, na kila mmoja wenu ajifunze kuutawala mwili wake mwenyewe katika utakatifu na heshima, bali si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.

"Chakula ni cha tumbo, na tumbo ni la chakula": lakini Mungu ataviangamiza vyote viwili. Mwili sio kwa ajili ya zinaa, bali kwa ajili ya Bwana Isa, na Bwana Isa kwa ajili ya mwili.

Kila mmoja mwenye matumaini haya ndani yake hujitakasa, kama vile yeye alivyo mtakatifu.

Arrependimento e restauração

Bem-aventurado aquele cujo pecado é perdoado. Deus restaura os que se arrependem e cria neles um coração limpo e renovado.

Furaha ya msamaha

Heri mtu aliyesamehewa makosa yake,

ambaye dhambi zake zimefunikwa.

Heri mtu yule ambaye Mwenyezi Mungu

hamhesabii dhambi,

na ambaye rohoni mwake

hamna udanganyifu.

Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa

kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa.

Usiku na mchana

mkono wako ulinilemea,

nguvu zangu zilinyonywa

kama vile katika joto la kiangazi.

Kisha nikakiri dhambi yangu kwako,

wala sikuficha uovu wangu.

Nilisema, "Nitaungama

makosa yangu kwa Mwenyezi Mungu."

Ndipo uliponisamehe

hatia ya dhambi yangu.

Kwa hiyo kila mtu mcha Mungu akuombe

wakati unapopatikana,

hakika maji makuu yatakapofurika

hayatamfikia yeye.

Unioshe na uovu wangu wote

na unitakase dhambi yangu.

Kwa maana najua makosa yangu,

na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi

na kufanya yaliyo mabaya machoni pako,

ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena,

na kuwa na haki unapotoa hukumu.

Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi,

unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.

Unipe kusikia furaha na shangwe,

mifupa uliyoiponda na ifurahi.

Ufiche uso wako usizitazame dhambi zangu,

na uufute uovu wangu wote.

Ee Mungu, uniumbie moyo safi,

uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.

Usinitupe kutoka mbele zako

wala kuniondolea Roho wako Mtakatifu.

Unirudishie furaha ya wokovu wako,

unipe roho ya utii, ili initegemeze.

Seja o primeiro