Milagres através da oração na Bíblia: histórias e exemplos
Grandes orações e milagres registrados na Bíblia
Na Bíblia, a oração não é um ritual mecânico, mas o meio pelo qual Deus intervém na história em resposta ao clamor de pessoas comuns. De nascimentos milagrosos a secas revertidas e livramentos da morte, a Escritura registra momentos em que a busca sincera pelo Senhor mudou o destino de indivíduos e nações inteiras.
A oração de Ana e o nascimento de Samuel
Ana enfrentava a dor da esterilidade e a angústia de se sentir desamparada. No tabernáculo, ela derramou a alma em pranto diante do Senhor, movendo apenas os lábios em súplica silenciosa (1 Samuel 1:10-20). Deus respondeu à sua oração com o nascimento de Samuel, que veio a se tornar profeta e juiz fundamental na história de Israel.
Kwa uchungu wa rohoni Hana alilia sana na akamwomba Bwana. Naye akaweka nadhiri, akisema, "Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, laiti ungeangalia huzuni kuu ya mtumishi wako na kunikumbuka mimi, wala usimsahau mtumishi wako nawe ukampa mwana, basi huyo mwana nitamtoa kwa Bwana kwa siku zote za maisha yake, wala wembe hautapita kichwani mwake."
Alipokuwa anaendelea kumwomba Bwana, Eli alichunguza kinywa chake. Hana alikuwa akiomba moyoni mwake, midomo yake ikiwa inachezacheza lakini sauti haikusikika. Eli akafikiri alikuwa amelewa naye akamwambia, "Utaendelea kulewa mpaka lini? Achilia mbali mvinyo wako."
Hana akajibu, "Si hivyo bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye huzuni kubwa. Mimi sijanywa mvinyo wala kileo, nilikuwa ninaumimina moyo wangu kwa Bwana. Usimdhanie mtumishi wako kuwa mwanamke mwovu; nimekuwa nikiomba hapa katika wingi wa uchungu mkuu na huzuni."
Eli akamjibu, "Nenda kwa amani, naye Mungu wa Israeli na akujalie kile ulichomwomba."
Hana akasema, "Mtumishi wako na apate kibali machoni pako." Kisha akaondoka zake na kula chakula, wala uso wake haukuwa na huzuni tena.
Kesho yake asubuhi na mapema waliamka wakaabudu mbele za Bwana na kisha wakarudi nyumbani kwao huko Rama. Elikana akakutana kimwili na mkewe Hana, naye Bwana akamkumbuka. Hivyo wakati ulipotimia, Hana akapata mimba na akamzaa mwana. Hana akamwita jina lake Samweli, akasema, "Kwa kuwa nilimwomba kwa Bwana."(1 Samweli 1:10-20)
Elias e a oração pelo fim da seca em Israel
Após três anos de seca severa sobre Israel, o profeta Elias subiu ao cume do monte Carmelo para clamar pelo retorno da chuva (1 Reis 18:41-45). Ele se prostrou em terra e perseverou em oração, enviando seu servo sete vezes para vigiar o horizonte, até que uma pequena nuvem surgiu no mar e se transformou em forte tempestade. A resposta milagrosa encerrou a estiagem e manifestou a soberania de Deus sobre a terra.
Eliya akamwambia Ahabu, "Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa." Hivyo Ahabu akaondoka ili kula na kunywa. Lakini Eliya akapanda kileleni mwa Karmeli, akasujudu na akaweka kichwa chake katikati ya magoti yake.
Akamwambia mtumishi wake, "Nenda ukatazame kuelekea bahari." Akaenda na kutazama.
Akasema, "Hakuna kitu chochote huko."
Mara saba Eliya akasema, "Nenda tena."
Mara ya saba, mtumishi akaleta taarifa, "Wingu dogo kama mkono wa mwanadamu linainuka kutoka baharini."
Hivyo Eliya akasema, "Nenda ukamwambie Ahabu, ‘Tandika gari lako na ushuke kabla mvua haijakuzuia.’ "
Wakati ule ule anga likawa jeusi kwa mawingu, upepo ukainuka na mvua kubwa ikanyesha, naye Ahabu akaenda zake Yezreeli.(1 Wafalme 18:41-45)
Daniel: livramento na cova dos leões e intercessão no exílio
Mesmo vivendo no cativeiro babilônico sob um decreto real que proibia orações a qualquer outro deus ou homem, Daniel manteve o hábito de orar três vezes ao dia em seu quarto (Daniel 6). Deus respondeu a essa fidelidade fechando a boca dos leões e preservando sua vida na cova. Mais tarde, em Daniel 9, ele intercedeu em arrependimento e jejum pela restauração do povo de Israel, mostrando que a oração de um líder sustenta o povo em tempos de crise.
Jesus no Getsêmani: entrega e força diante da cruz
Na noite anterior à sua crucificação, Jesus foi ao jardim do Getsêmani em profunda angústia de alma (Mateus 26:36-46). Três vezes ele orou pedindo que, se possível, aquele cálice de sofrimento fosse afastado, mas concluiu submetendo inteiramente sua vontade ao Pai. A resposta divina não retirou a cruz, mas deu a Jesus a firmeza espiritual necessária para cumprir o plano de redenção.
Kisha Yesu akaenda pamoja na wanafunzi wake mpaka kwenye bustani iitwayo Gethsemane, akawaambia, "Kaeni hapa, nami niende kule nikaombe." Akamchukua Petro pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kufadhaika. Kisha Yesu akawaambia, "Moyo wangu umejawa na huzuni kiasi cha kufa. Kaeni hapa na mkeshe pamoja nami."
Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, "Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe."
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, "Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja? Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu."
Akaenda tena mara ya pili na kuomba, "Baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisikinywe, basi mapenzi yako yafanyike."
Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawaambia, "Bado mmelala na kupumzika? Tazameni, saa imefika ambapo Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi. Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!"(Mathayo 26:36-46)
O que essas passagens revelam sobre a oração
Esses relatos bíblicos mostram que a oração que alcança resposta nasce da dependência sincera, não de palavras rebuscadas. Ana orou a partir de sua aflição mais íntima; Elias perseverou sem desanimar diante da ausência inicial de nuvens; Daniel priorizou a lealdade a Deus acima da própria segurança; e Jesus ensinou que o ponto mais alto da oração é o descanso na vontade soberana do Pai.
Este artigo te tocou? Faça uma oração!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.