Publicidade

Ouvir

Por Bíblia Online

Ouvir é uma disciplina espiritual essencial. A Bíblia exorta: 'Quem tem ouvidos, ouça.' A fé vem pelo ouvir, e ouvir é mais que escutar — é obedecer e agir.

A fé vem pelo ouvir

Sem ouvir a Palavra, não há fé. A pregação do evangelho gera fé nos corações de quem ouve com disposição e humildade.

Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Al-Masihi.

Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Al-Masihi.

Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?

Mwenye masikio ya kusikia, na asikie."

Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema:

" Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa;

na pia mtatazama lakini hamtaona.

Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu;

hawasikii kwa masikio yao,

na wamefumba macho yao.

Wasije wakaona kwa macho yao,

na wakasikiliza kwa masikio yao,

wakaelewa kwa mioyo yao,

na kugeuka nami nikawaponya.

Ouvir e obedecer

Não basta ouvir — é preciso praticar. Quem ouve a Palavra e a pratica é como o homem sábio que edificou sobre a rocha.

Basi kuweni watendaji wa Neno, wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.

Basi kuweni watendaji wa Neno, wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.

Kusikia na kutenda

Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika.

Kusikia na kutenda

Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika. Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu.

Mjenzi mwenye busara na mjenzi mpumbavu

"Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.

Mjenzi mwenye busara na mjenzi mpumbavu

"Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba. Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, na upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba. Lakini haikuanguka; kwa sababu msingi wake ulikuwa kwenye mwamba. Kila anayesikia haya maneno yangu na asiyatende ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga. Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, nao upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba, nayo ikaanguka kwa kishindo kikubwa."

Lakini Isa akajibu, "Imeandikwa: Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ "

Isa akajibu, "Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii."

Isa akajibu, "Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii."

Mambo yote mliyojifunza au kuyapokea au kuyasikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatendeni hayo. Naye Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.

Deus ouve nossas orações

O Senhor ouve os que clamam a Ele de coração sincero. Ele inclina os ouvidos para as nossas súplicas e responde com fidelidade.

Shukrani kwa kuokolewa kutoka mauti

Nampenda Mwenyezi Mungu kwa maana amesikia sauti yangu;

amesikia kilio changu ili anihurumie.

Kwa sababu amenitegea sikio lake,

nitamwita siku zote za maisha yangu.

Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu,

nilimlilia Mungu wangu anisaidie.

Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu,

kilio changu kikafika mbele zake,

masikioni mwake.

Macho ya Mwenyezi Mungu huwaelekea wenye haki,

na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao.

Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Mwenyezi Mungu;

asubuhi naleta haja zangu mbele zako,

na kusubiri kwa matumaini.

Unipe kusikia furaha na shangwe,

mifupa uliyoiponda na ifurahi.

Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma,

kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako.

Nioneshe njia nitakayoiendea,

kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu.

Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.

Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.

Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza.

Niite, nami nitakuitikia, nitakuonesha mambo makubwa, yasiyochunguzika na usiyoyajua.

Dhambi, toba na ukombozi

Hakika mkono wa Mwenyezi Mungu si mfupi hata usiweze kuokoa,

wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia.

Ouvir a voz de Deus

Jesus disse: 'As minhas ovelhas ouvem a minha voz.' Deus fala através da Palavra, do Espírito e das circunstâncias — cabe a nós ouvir.

Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata.

"Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini na kuingia uzimani. Amin, amin nawaambia, saa yaja, nayo saa ipo, wafu watakapoisikia sauti ya Mwana wa Mungu), wa kiroho, bali si wa kimwili., nao watakaoisikia watakuwa hai.

Tazama! Nasimama mlangoni nabisha. Kama mtu yeyote akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami.

Tazama! Nasimama mlangoni nabisha. Kama mtu yeyote akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami.

Ni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ambaye mnapaswa kumfuata tena ni yeye mnapaswa kumheshimu. Shikeni maagizo yake na kumtii, mtumikieni na kushikamana naye.

Je, Mungu huwapa Roho wake Mtakatifu na kufanya miujiza kati yenu kwa sababu mnatii Torati, au kwa sababu mnaamini kile mlichosikia?

Sabedoria no ouvir

Seja pronto para ouvir e tardio para falar. A sabedoria começa com a disposição de ouvir instrução e aceitar correção.

Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza,

huo ni upumbavu wake na aibu yake.

Yeyote anayekubali mafundisho hustawi,

tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Mwenyezi Mungu.

Onyo dhidi ya uasherati

Mwanangu, zishike amri za baba yako,

wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima,

lakini yeyote anayepuuza maonyo hupotosha wengine.

Mtu yeyote akikataa kusikia sheria,

hata maombi yake ni chukizo.

Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima,

kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu.

Vitu vyote vinachosha,

kuliko mtu anavyoweza kusema.

Jicho kamwe halitosheki kutazama,

wala sikio halishibi kusikia.

" Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili.

Kama hamtasikiliza, na kama hamtaki kuielekeza mioyo yenu kuheshimu Jina langu, nitatuma laana juu yenu, nami nitalaani baraka zenu. Naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamkuielekeza mioyo yenu kuniheshimu mimi," Asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.

Lakini nitakaposema nawe, nitafungua kinywa chako nawe utawaambia, Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi.Yeyote atakayesikiliza na asikilize, na yeyote atakayekataa na akatae; kwa kuwa wao ni nyumba ya uasi.

"Siku zinakuja," asema Bwana Mungu Mwenyezi,

"wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote:

si njaa ya chakula wala kiu ya maji,

lakini njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu.

Ilipokaribia usiku wa manane, Paulo na Sila walikuwa wakiomba na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, nao wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza.

Yoshua akawaambia Waisraeli, "Njooni hapa msikilize maneno ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.

Kwa hiyo, lolote mlilosema gizani litasikiwa nuruni. Na kile mlichonong’ona masikioni mkiwa kwenye vyumba vya ndani, kitatangazwa juu ya paa.

Ndugu yako akikukosea

"Ndugu yako akikukosea, nenda ukamwoneshe kosa lake, kati yenu ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.

Ndugu yako akikukosea

"Ndugu yako akikukosea, nenda ukamwoneshe kosa lake, kati yenu ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako. Lakini asipokusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili ili kila neno lithibitishwe kwa ushahidi wa mashahidi wawili au watatu. Akikataa kuwasikiliza hao, waambieni kundi lenu la waumini. Naye akikataa hata kuwasikiliza kundi la waumini, basi awe kwenu kama mtu asiyeamini au mtoza ushuru.

Yethro akafurahishwa sana kusikia kuhusu mambo yote mazuri Mwenyezi Mungu aliyowatendea Waisraeli kuwaokoa kutoka mkono wa Wamisri.

Mawimbi ya mauti yalinizunguka,

mafuriko ya maangamizi yalinilemea.

Kamba za Kuzimu zilinizunguka,

mitego ya mauti ilinikabili.

"Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu,

nilimlilia Mungu wangu.

Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu,

kilio changu kikafika masikioni mwake.

Seja o primeiro
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-