Publicidade

Sabedoria

Por Bíblia Online

A sabedoria é um dos temas mais ricos da Bíblia. O temor do Senhor é seu princípio, e buscá-la vale mais que ouro ou prata. Deus promete dar sabedoria generosamente a quem pedir com fé.

O princípio da sabedoria

O temor do Senhor é o início de toda sabedoria verdadeira. Quem reverencia a Deus aprende a viver com discernimento e prudência.

Kumcha Mwenyezi Mungu ni chanzo cha maarifa,

lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

"Kumcha Mwenyezi Mungu ndicho chanzo cha hekima,

na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu.

Kumcha Mwenyezi Mungu humfundisha mtu hekima,

nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.

Kumcha Mwenyezi Mungu ndicho chanzo cha hekima,

wote wanaozifuata amri zake wana busara.

Sifa zake zadumu milele.

Lakini hekima inaweza kupatikana wapi?

Ufahamu unakaa wapi?

Mwanadamu hatambui thamani yake;

haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.

Kilindi husema, "Haiko ndani yangu";

bahari nayo husema, "Haiko pamoja nami."

Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote,

wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha.

Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri,

kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa.

Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo,

wala haiwezi hubadilishwa kwa vito vya dhahabu.

Marijani na yaspi hazistahili kutajwa;

thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu.

Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo,

wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi.

Ni wapi basi hekima itokako?

Ufahamu hukaa wapi?

Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai,

imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.

Uharibifu na Mauti husema,

"Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu."

Sabedoria como dom de Deus

A verdadeira sabedoria vem do alto. Deus a concede generosamente a quem pede com fé, sem lançar em rosto a fraqueza humana.

Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima, basi amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.

Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima, basi amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.

Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima, basi amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.

Kwa maana Mwenyezi Mungu hutoa hekima,

na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.

Kwa maana Mwenyezi Mungu hutoa hekima,

na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.

na kama utaiita busara,

na kuita kwa sauti upate ufahamu,

ndipo utakapoelewa kumcha Mwenyezi Mungu

na kupata maarifa ya Mungu.

Ninakushukuru na kukuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu:

Umenipa hekima na uwezo;

umenijulisha kile tulichokuomba,

umetujulisha ndoto ya mfalme."

akasema:

"Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele;

hekima na uweza ni vyake.

Mungu akawapa hawa vijana wanne maarifa na ufahamu wa kila aina ya maandiko na elimu. Naye Danieli aliweza kufahamu maono na aina zote za ndoto.

A sabedoria do alto

A sabedoria que vem de Deus é pura, pacífica, amável, cheia de misericórdia e de bons frutos. Ela se opõe à sabedoria terrena e mundana.

Lakini hekima inayotoka mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki.

Lakini hekima inayotoka mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki.

Lakini hekima inayotoka mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki.

Aina mbili za hekima

Ni nani aliye na hekima na ufahamu miongoni mwenu? Basi na aioneshe hiyo kwa maisha yake mema na kwa matendo yake yaliyotendwa kwa unyenyekevu utokanao na hekima.

Hekima ya kweli itokayo kwa Mwenyezi Mungu

Lakini miongoni mwa watu waliokomaa twanena hekima, wala si hekima ya ulimwengu huu au ya watawala wa dunia hii wanaobatilika. Sisi tunanena hekima ya Mungu ambayo ni siri, tena iliyofichika, ambayo Mungu aliikusudia kabla ya ulimwengu kuumbwa, kwa ajili ya utukufu wetu.

Lakini sisi tunamhubiri Al-Masihi aliyesulubiwa: yeye kwa Wayahudi ni kikwazo na kwa Wayunani ni upuzi. Lakini kwa wale ambao Mungu amewaita, Wayahudi na pia Wayunani, Al-Masihi ndiye nguvu ya Mungu na pia hekima ya Mungu. Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.

Msijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima.

Msijidanganye. Kama mtu yeyote miongoni mwenu akidhani kuwa ana hekima kwa viwango vya dunia hii, inampasa awe mjinga ili apate kuwa na hekima.

Kusudi langu ni watiwe moyo na kuunganishwa katika upendo, ili wapate ule utajiri wa ufahamu mkamilifu, ili waijue siri ya Mungu, yaani Al-Masihi, ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.

Direção e discernimento

Deus guia os humildes na justiça e ensina seu caminho aos mansos. Ele promete dirigir nossos passos quando confiamos nele de todo o coração.

Mtumaini Mwenyezi Mungu kwa moyo wako wote

wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

katika njia zako zote mkiri yeye,

naye atayanyoosha mapito yako.

Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe;

mche Mwenyezi Mungu ukajiepushe na uovu.

Nitakufundisha na kukuonesha njia utakayoiendea;

nitakushauri na kukuangalia.

Huwaongoza wanyenyekevu katika haki,

naye huwafundisha njia yake.

Nioneshe njia zako, Ee Mwenyezi Mungu,

nifundishe mapito yako,

niongoze katika kweli yako na kunifundisha,

kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu,

nalo tumaini langu liko kwako wakati wote.

Kama Mwenyezi Mungu akipendezwa na njia ya mtu,

yeye huimarisha hatua zake,

Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma,

kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako.

Nioneshe njia nitakayoiendea,

kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu.

Nifundishe kufanya mapenzi yako,

kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu,

Roho wako mwema na aniongoze

katika nchi tambarare.

Ee Mwenyezi Mungu, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu,

kwa haki yako nitoe katika taabu.

Nifundishe njia yako, Ee Mwenyezi Mungu,

niongoze katika njia iliyo nyoofu,

kwa sababu ya watesi wangu.

A Palavra como fonte de sabedoria

A Palavra de Deus é lâmpada para os pés e luz para o caminho. Meditar nas Escrituras nos dá entendimento superior ao dos mestres.

Nuru katika Torati ya Mwenyezi Mungu

Neno lako ni taa ya miguu yangu

na mwanga katika njia yangu.

Nuru katika Torati ya Mwenyezi Mungu

Neno lako ni taa ya miguu yangu

na mwanga katika njia yangu.

Yafungue macho yangu nipate kuona

mambo ya ajabu katika sheria yako.

Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru,

kunampa mjinga ufahamu.

Furaha ya kweli

Heri mtu yule ambaye haendi

katika shauri la watu waovu,

wala hasimami katika njia ya wenye dhambi,

au kuketi katika baraza la wenye mizaha.

Bali huifurahia Torati ya Mwenyezi Mungu,

naye huitafakari hiyo Torati usiku na mchana.

Neno la Al-Masihi na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.

Unapotembea, yatakuongoza;

unapolala, yatakulinda;

unapoamka, yatazungumza nawe.

Sabedoria prática para o dia a dia

A sabedoria se aplica em cada decisão: nas finanças, nos relacionamentos, no trabalho e no uso do tempo. Vivamos como sábios, não como insensatos.

Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.

Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.

Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho,

nawe mwishoni utakuwa na hekima.

Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho,

nawe mwishoni utakuwa na hekima.

Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe,

yeye ahifadhiye ufahamu hustawi.

Fanya mipango kwa kutafuta mashauri,

ukipigana vita, tafuta maelekezo.

kwa kufanya vita unahitaji uongozi

na kwa ushindi washauri wengi.

Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi,

bali anayekasirika haraka huonesha upumbavu.

Kiburi huzalisha magomvi tu,

bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri.

Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake,

bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia.

Njia ya mpumbavu huonekana sawa

machoni pake mwenyewe,

bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri.

Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu,

bali unyenyekevu huja na hekima.

Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,

lakini mpumbavu apayukaye huangamia.

Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa,

masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa.

Mpumbavu hafurahii ufahamu,

bali hufurahia kutangaza

maoni yake mwenyewe.

Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima akinyamaza,

na mwenye ufahamu akiuzuia ulimi wake.

wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao,

wenye kupambanua na wapate mwongozo;

Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.

Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati. Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.

Lolote mfanyalo, fanyeni kwa moyo wote kama watu wanaomtumikia Bwana Isa, na si wanadamu, kwa kuwa mnajua kwamba mtapokea urithi wenu kutoka kwa Bwana ukiwa thawabu yenu. Ni Bwana Isa Al-Masihi mnayemtumikia.

O valor da sabedoria

A sabedoria é mais preciosa que rubis. Quem a encontra, encontra a vida e alcança o favor do Senhor. Nada se compara a ela.

Heri mtu yule apataye hekima,

mtu yule apataye ufahamu,

Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima,

na kujipatia kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu,

kuchagua ufahamu kuliko fedha!

Moyo wa mtu huifikiri njia yake,

bali Mwenyezi Mungu huelekeza hatua zake.

Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu,

bali jibu la ulimi hutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Hekima ni ulinzi

kama fedha ilivyo ulinzi,

lakini faida ya maarifa ni hii:

kwamba hekima huhifadhi maisha ya aliye nayo.

Usiseme, "Kwa nini siku za kale

zilikuwa bora kuliko siku hizi?"

Kwa maana si hekima

kuuliza maswali kama hayo.

Kwa yule mtu anayempendeza Mungu, Mungu humpa hekima, maarifa na furaha, bali kwa mwenye dhambi Mungu humpa kazi ya kukusanya na kuhifadhi utajiri ili Mungu ampe yule anayempenda. Hili nalo pia ni ubatili, ni kukimbiza upepo.

Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko Kuzimu, unakoenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.

A sabedoria e a soberania de Deus

Os caminhos de Deus são mais altos que os nossos. Sua sabedoria é insondável, eterna e infinitamente superior ao entendimento humano.

"Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia,

ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu

na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.

"Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu,

wala njia zenu si njia zangu,"

asema Mwenyezi Mungu.

Je wewe, hufahamu?

Je wewe, hujasikia?

Mwenyezi Mungu ni Mungu wa milele,

Muumba wa miisho ya dunia.

Hatachoka wala kulegea,

wala hakuna hata mmoja

awezaye kuupima ufahamu wake.

Je wewe, hufahamu?

Je wewe, hujasikia?

Mwenyezi Mungu ni Mungu wa milele,

Muumba wa miisho ya dunia.

Hatachoka wala kulegea,

wala hakuna hata mmoja

awezaye kuupima ufahamu wake.

Bwana Mungu Mwenyezi amenipa ulimi uliofundishwa,

ili kujua neno limtegemezalo aliyechoka.

Huniamsha asubuhi kwa asubuhi,

huamsha sikio langu lisikie kama mtu afundishwaye.

Ole wa wale wanaotegemea Misri

Ole wao wale wanaoshuka Misri kutafuta msaada,

wale wanaotegemea farasi,

wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita,

na katika nguvu nyingi za wapanda farasi,

lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli,

wala hawatafuti msaada kwa Mwenyezi Mungu.

Hata hivyo yeye pia ana hekima na anaweza kuleta maafa,

wala hayatangui maneno yake.

Yeye atainuka dhidi ya nyumba ya mwovu,

dhidi ya wale ambao huwasaidia watenda maovu.

Haya yote pia hutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni,

mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima.

Roho wa Mwenyezi Mungu atakaa juu yake,

Roho wa hekima na wa ufahamu,

Roho wa shauri na wa uweza,

Roho wa maarifa na wa kumcha Mwenyezi Mungu

naye atafurahia kumcha Mwenyezi Mungu.

Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake,

wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,

Mwenyezi Mungu atakuongoza siku zote,

atayatosheleza mahitaji yako katika nchi kame,

naye ataitia nguvu mifupa yako.

Utakuwa kama bustani iliyonyweshwa vizuri,

kama chemchemi ambayo maji yake hayakauki kamwe.

Wimbo wa shukrani

Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri

wa hekima na maarifa ya Mungu!

Tazama jinsi hukumu zake hazichunguziki,

na ambavyo njia zake hazitafutiki!

ndiye Mungu, aliye pekee mwenye hekima, ambaye kupitia kwa Isa Al-Masihi utukufu ni wake milele na milele! Amen.

Tu zaidi ya washindi

Nasi tunajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hutenda kazi pamoja na wote wanaompenda, yaani wale walioitwa kwa kusudi lake, ili kuwaletea mema.

Ee Mwenyezi Mungu, jinsi matendo yako yalivyo mengi!

Kwa hekima ulizifanya zote,

dunia imejaa viumbe vyako.

Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi,

ufahamu wake hauna kikomo.

Unaniongoza kwa ushauri wako,

hatimaye utaniingiza katika utukufu.

Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri,

ili tujipatie moyo wa hekima.

Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima,

nao ulimi wake huzungumza lililo haki.

Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu

naye atakupa haja za moyo wako.

Niongoze katika haki yako, Ee Mwenyezi Mungu,

kwa sababu ya adui zangu,

nyoosha njia yako mbele yangu.

Umenijulisha njia ya uzima;

utanijaza na furaha mbele zako,

pamoja na furaha ya milele

katika mkono wako wa kuume.

Watakuja wakilia;

wataomba wakati ninawarudisha.

Nitawaongoza kando ya vijito vya maji,

katika njia iliyonyooka hawatajikwaa,

kwa sababu mimi ndimi baba wa Israeli,

naye Efraimu ni mzaliwa wangu wa kwanza.

Maombi ya Yeremia

Ninajua, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe;

hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe.

Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake,

akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake,

na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake.

Usijisifu kwa ajili ya kesho,

kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja.

Wapotovu hawaelewi haki,

bali wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu wanaielewa kikamilifu.

Basi kwa yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu yasiyopimika kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya uweza wake ule utendao kazi ndani yetu, yeye atukuzwe katika jumuiya ya waumini, na katika Al-Masihi Isa kwa vizazi vyote, milele na milele. Amen.

Maonyo ya mwisho

Hii itakuwa mara ya tatu mimi kuja kwenu. "Shtaka lolote lazima lithibitishwe na mashahidi wawili au watatu."

Nanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema:

"Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu,

wala usikate tamaa akikukemea,

kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda,

na humwadhibu kila mmoja

anayemkubali kuwa mwana."

Hatimaye, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo na sifa njema, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote ya kupendeza, yoyote yenye staha, ukiwepo uzuri wowote, pakiwepo chochote kinachostahili kusifiwa, tafakarini mambo hayo.

Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Kila siku ina masumbufu yake ya kutosha.

Malkia wa Kusini atasimama wakati wa hukumu na kukihukumu kizazi hiki. Kwa kuwa yeye alikuja kutoka miisho ya dunia ili kuisikiliza hekima ya Sulemani. Na hapa yupo aliye mkuu kuliko Sulemani.

Mjenzi mwenye busara na mjenzi mpumbavu

"Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.

Kwa maana nitawapa maneno na hekima ambayo hakuna hata adui yenu mmoja atakayeweza kushindana nayo wala kuipinga.

Acheni kuhukumu mambo kwa jinsi mnavyoona tu, bali hukumuni kwa haki."

Kwa hekima Mwenyezi Mungu aliiweka misingi ya dunia,

kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;

Je, hekima haipatikani kwa wazee?

Je, maisha marefu hayaleti ufahamu?

"Hekima na nguvu ni vya Mungu;

shauri na ufahamu ni vyake yeye.

Ayubu anajibu: Hakuna Mpatanishi

Kisha Ayubu akajibu:

"Naam, najua hili ni kweli.

Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu?

Ingawa mtu angetaka kushindana naye,

hangeweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja.

Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno.

Ni nani aliyempinga naye akawa salama?

Amekuonesha yaliyo mema, ee mwanadamu.

Mwenyezi Mungu anataka nini kwako?

Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema,

na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.

Akawaambia, "Angalieni kwa makini yale mnayotenda, kwa kuwa hamkuhukumu kwa ajili ya mwanadamu bali kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ambaye yu pamoja nanyi kila mtoapo hukumu.

Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.

Seja o primeiro
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-