55 "Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako?
Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?"
56 Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. 57 Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.

56 Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. 57 Lakini Mungu apewe shukrani, yeye atupaye ushindi kupitia kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi.
55 Hos 13:14;Isa 25:8Kuko wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? Uko wapi, Ewe mauti, uchungu wako? 56 Rum 7:13;6:14Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati. 57 Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.