Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Petro 1:13-16

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Mwito Wa Kuishi Maisha Matakatifu

13 Kwa hiyo, tayarisheni nia zenu kwa kazi; mwe na kiasi, mkitumainia kikamilifu ile neema mtakayopewa Yesu Kristo atakapodhihirishwa. 14 Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga. 15 Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi kuweni watakatifu katika mwenendo wenu wote. 16 Kwa maana imeandikwa: "Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    13 Kwa hiyo, tayarisheni nia zenu kwa kazi; mwe na kiasi, mkitumainia kikamilifu ile neema mtakayopewa Isa Al-Masihi atakapodhihirishwa. 14 Kama watoto watiifu, msifuate tamaa zenu mbaya wakati mlipoishi kwa ujinga. 15 Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi kuweni watakatifu katika mwenendo wenu wote. 16 Kwa maana imeandikwa: "Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    13 Lk 12:35;Efe 6:14Kwa hiyo iweni tayari, na makini;1:13 Kigiriki ni ‘Vifungeni viuno vya nia zenu na kuwa na kiasi’. mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 14 Rum 12:2;Efe 2:3;4:17Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu; 15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; 16 Law 11:44-45;19:2;20:7kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.