Wito wa kuishi maisha ya utakatifu
13 Lk 12:35;Efe 6:14Kwa hiyo iweni tayari, na makini;1:13 Kigiriki ni ‘Vifungeni viuno vya nia zenu na kuwa na kiasi’. mkiitumainia kwa utimilifu ile neema mtakayoletewa katika ufunuo wake Yesu Kristo. 14 Rum 12:2;Efe 2:3;4:17Kama watoto wa kutii msijifananishe na tamaa zenu za kwanza za ujinga wenu; 15 bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; 16 Law 11:44-45;19:2;20:7kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.