7 lakini tulikuwa wapole katikati yenu, kama mama anayewatunza watoto wake wadogo. 8 Tuliwapenda sana kiasi kwamba tulifurahia kushirikiana nanyi, si Injili ya Mungu tu, bali hata maisha yetu, kwa sababu mlikuwa wa thamani mno kwetu.
Publicidade