7 Lakini tulikuwa wapole kati yenu, kama vile mama anawatunza watoto wake wadogo. 8 Tuliwapenda sana, kiasi kwamba tulifurahia kushirikiana nanyi, si Injili ya Mungu tu, bali hata maisha yetu, kwa sababu mlikuwa wa thamani mno kwetu.
Publicidade