Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Wafalme 6

16 Nabii akajibu, "Usiogope. Wale walio pamoja nasi ni wengi zaidi kuliko wale walio pamoja nao."

17 Kisha Elisha akaomba, "Ee Bwana, mfumbue macho huyu mtumishi ili apate kuona." Ndipo Bwana akayafumbua macho ya yule mtumishi, naye akatazama na kuona vilima vimejaa farasi na magari ya moto, yamemzunguka Elisha pande zote.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também