7 Ndipo Nathani akamwambia Daudi, "Wewe ndiwe huyo mtu! Hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli, nilikuokoa kutokana na mkono wa Sauli.
13 Ndipo Daudi akamjibu Nathani, "Nimefanya dhambi dhidi ya Bwana."
Nathani akamjibu, "Bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.