11 "Siku zinakuja," asema Bwana Mwenyezi,
"wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote:
si njaa ya chakula wala kiu ya maji,
lakini njaa ya kusikia maneno ya Bwana.
11 "Siku zinakuja," asema Bwana Mwenyezi,
"wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote:
si njaa ya chakula wala kiu ya maji,
lakini njaa ya kusikia maneno ya Bwana.
11 "Siku zinakuja," asema Bwana Mungu Mwenyezi,
"wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote:
si njaa ya chakula wala kiu ya maji,
lakini njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu.
11 1 Sam 3:1;Zab 74:9;Eze 7:26;Mik 3:6Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.