11 "Siku zinakuja," asema Bwana Mungu Mwenyezi,
"wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote:
si njaa ya chakula wala kiu ya maji,
lakini njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi Mungu.