7 Tazama! Anakuja na mawingu,
na kila jicho litamwona,
hata wale waliomchoma;
na makabila yote duniani
yataomboleza kwa sababu yake.
Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.
7 Tazama! Anakuja na mawingu,
na kila jicho litamwona,
hata wale waliomchoma;
na makabila yote duniani
yataomboleza kwa sababu yake.
Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.
7 "Tazama! Anakuja na mawingu,"
na "kila jicho litamwona,
hata wale waliomchoma";
na makabila yote duniani
"yataomboleza kwa sababu yake."
Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.
7 Dan 7:13;Mt 24:30;Mk 13:26;Lk 21:27;23:27,28;1 The 4:17;Zek 12:10-14;Yn 19:34,37Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na makabila yote ya dunia yataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.