7 "Tazama! Anakuja na mawingu,"
na "kila jicho litamwona,
hata wale waliomchoma";
na makabila yote duniani
"yataomboleza kwa sababu yake."
Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.
7 "Tazama! Anakuja na mawingu,"
na "kila jicho litamwona,
hata wale waliomchoma";
na makabila yote duniani
"yataomboleza kwa sababu yake."
Naam, ndivyo itakavyokuwa! Amen.