Publicidade

Atos 20

35 Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa njia hii ya kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wadhaifu, mkikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe jinsi alivyosema, Ni heri kutoa kuliko kupokea."

36 Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba. 37 Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu, 38 Kilichowahuzunisha zaidi ni kwa sababu ya yale maneno aliyosema kwamba kamwe hawatauona uso wake tena. Wakaenda naye mpaka kwenye meli.

Veja também

Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-29_22-07-56-