Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 6

9 Hata hivyo, ukainuka upinzani wa watu wa Sinagogi la Watu Huru (kama lilivyokuwa linaitwa), la Wayahudi wa Kirene na wa Iskanderia, na wengine kutoka Kilikia na Asia. Watu hawa wakaanza kupingana na Stefano.

11 Ndipo kwa siri wakawashawishi watu fulani waseme, "Tumemsikia Stefano akisema maneno ya kufuru dhidi ya Mose na dhidi ya Mungu."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também