5Unajikwaa usiku na mchana,nao manabii hujikwaa pamoja nawe.Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako:
11katika ukahaba,divai ya zamani na divai mpya,ambavyo huondoa ufahamu
17Efraimu amejiunga na sanamu,ondokana naye!
32 resultados encontrados
5Unajikwaa usiku na mchana,nao manabii hujikwaa pamoja nawe.Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako:
11katika ukahaba,divai ya zamani na divai mpya,ambavyo huondoa ufahamu
17Efraimu amejiunga na sanamu,ondokana naye!
13Waheshimuni sana katika upendo kwa ajili ya kazi zao. Ishini kwa amani ninyi kwa ninyi.
23Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo.
28Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. Amen.
2Israeli na aseme sasa:"Upendo wake wadumu milele."
3Nyumba ya Aroni na iseme sasa:"Upendo wake wadumu milele."
29Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema;upendo wake wadumu milele.
5Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Kristo.
17Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo.
18Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.
3Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.
4Kwa maana kila aliyezaliwa na Mungu huushinda ulimwengu. Huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, yaani, hiyo imani yetu.
21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.
2Kila mmoja wetu inampasa kumpendeza jirani yake kwa mambo mema, ili kumjenga katika imani.
32ili kwa mapenzi ya Mungu niweze kuja kwenu kwa furaha, nami niburudishwe pamoja nanyi.
33Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.
4Binti za Yerusalemu, ninawaagiza:msichochee wala kuamsha mapenzihata yatakapotaka yenyewe.Marafiki
6Nitie kama muhuri moyoni mwako,kama muhuri kwenye mkono wako;kwa maana upendo una nguvu kama mauti,wivu wake ni mkatili kama kuzimu.Unachoma kama mwali wa moto,kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa.
7Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,mito haiwezi kuugharikisha.Kama mtu angelitoa mali yote ya nyumbani mwakekwa ajili ya upendo,angelidharauliwa kabisa.Marafiki
1Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii.
25nazo siri za moyo wake zitawekwa wazi. Kwa hiyo ataanguka chini na kumwabudu Mungu akikiri, "Kweli Mungu yuko katikati yenu!"
32Roho za manabii huwatii manabii.
1Ee Bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako.Ulimrejeshea Yakobo baraka zake.85:1 Au: Uliwarudisha mateka wa Yakobo.
7Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana,utupe wokovu wako.
10Upendo na uaminifu hukutana pamoja,haki na amani hubusiana.
8Msalimuni Ampliato, yeye nimpendaye katika Bwana.
24Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.]
27Mungu aliye pekee, mwenye hekima, ambaye kwa njia ya Yesu Kristo utukufu ni wake milele na milele! Amen.
12Tunafanya kazi kwa bidii kwa mikono yetu wenyewe. Tunapolaaniwa, tunabariki, tunapoteswa, tunastahimili,
13tunaposingiziwa, tunajibu kwa upole. Mpaka sasa tumekuwa kama takataka ya dunia na uchafu wa ulimwengu.
21Ninyi amueni. Je, nije kwenu na fimbo, au nije kwa upendo na kwa roho ya upole?
10Tazama jinsi pendo lako linavyofurahisha,dada yangu, bibi arusi wangu!Pendo lako linafurahisha aje zaidi ya divai,na harufu ya manukato yako zaidi ya kikolezo chochote!
13Mimea yako ni bustani ya mikomamangayenye matunda mazuri sana,yenye hina na nardo,
15Wewe ni chemchemi ya bustani,kisima cha maji yatiririkayo,yakitiririka kutoka Lebanoni.Mpendwa