15nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani.
23Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo.
24Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.
29 resultados encontrados
15nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani.
23Amani iwe kwa ndugu, na pendo pamoja na imani kutoka kwa Mungu Baba na Bwana Yesu Kristo.
24Neema iwe na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo kwa upendo wa dhati. Amen.
14Fanyeni kila kitu katika upendo.
22Kama mtu yeyote hampendi Bwana Yesu Kristo, na alaaniwe. Bwana wetu, njoo.16:22 Kwa Kiaramu ni Marana tha.
24Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Kristo Yesu. Amen.
7Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.
8Upendo haushindwi kamwe. Lakini ukiwepo unabii, utakoma; zikiwepo lugha, zitakoma; yakiwepo maarifa, yatapita.
13Basi sasa, yanadumu mambo haya matatu: Imani, tumaini na upendo. Lakini lililo kuu miongoni mwa haya matatu ni upendo.
4Mali huleta marafiki wengi,bali rafiki wa mtu maskini humwacha.
7Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote:Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani!Ingawa huwafuata kwa kuwasihi,hawapatikani popote.
22Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho,afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo.
7Wapendwa, tupendane, kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu. Kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.
12Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini tukipendana, Mungu anakaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.
16Hivyo nasi twajua na kulitumainia pendo la Mungu alilo nalo kwa ajili yetu.Mungu ni Upendo. Kila akaaye katika upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.
1Wimbo ulio bora wa Solomoni.Mpendwa
15Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!Tazama jinsi ulivyo mzuri!Macho yako ni kama ya hua.Mpendwa
16Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!Ee, tazama jinsi unavyopendeza!Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.Mpenzi
5Afadhali karipio la wazikuliko upendo uliofichika.
15Mke mgomvi ni kamamatone yasiyokoma ya siku ya mvua.
17Kama vile chuma kinoavyo chuma,ndivyo mtu amnoavyo mwenzake.
1Mimi ni ua la Sharoni,yungiyungi ya bondeni.Mpenzi
2Kama yungiyungi katikati ya miibandivyo alivyo mpenzi wangu katikati ya wanawali.Mpendwa
4Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu,na bendera ya huyu mwanaumejuu yangu ni upendo.
9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.
10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
16Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu.
8Msidaiwe kitu na mtu yeyote, isipokuwa kupendana, kwa maana yeye ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.
9Kwa kuwa amri hizi zisemazo, "Usizini," "Usiue," "Usiibe," "Usitamani," na amri nyingine zote, zinajumlishwa katika amri hii moja: "Mpende jirani yako kama nafsi yako."
10Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.
5Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
20Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.
23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
11Uweza una yeye milele na milele. Amen.
12Kwa msaada wa Silvano,5:12 Yaani Sila. ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo.
14Salimianeni kwa busu la upendo.Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.
12Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa.
16Si kama mtumwa, bali bora kuliko mtumwa, kama ndugu mpendwa. Yeye ni mpendwa sana kwangu na hata kwako zaidi, yeye kama mwanadamu na kama ndugu katika Bwana.
25Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
8Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi.
9Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manungʼuniko.
11Yeyote asemaye hana budi kusema kama mtu asemaye maneno ya Mungu mwenyewe. Yeyote ahudumuye hana budi kuhudumu kwa nguvu zile anazopewa na Mungu, ili Mungu apate kutukuzwa katika mambo yote kwa njia ya Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye milele na milele. Amen.
5Unajikwaa usiku na mchana,nao manabii hujikwaa pamoja nawe.Kwa hiyo nitamwangamiza mama yako:
11katika ukahaba,divai ya zamani na divai mpya,ambavyo huondoa ufahamu
17Efraimu amejiunga na sanamu,ondokana naye!
14Wayebusi, Waamori, Wagirgashi,
1Endeleeni kupendana kama ndugu.
21awafanye ninyi wakamilifu mkiwa mmekamilishwa katika kila jambo jema ili mpate kutenda mapenzi yake, naye atende ndani yetu kile kinachompendeza machoni Pake, kwa njia ya Yesu Kristo, ambaye utukufu una yeye milele na milele. Amen.
25Neema iwe nanyi nyote. Amen.
5Jichunguzeni wenyewe mwone kama mnaishi katika imani. Jipimeni wenyewe. Je, hamtambui ya kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi, mmeshindwa kufikia kipimo hicho!
12Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.
14Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.
1Ee Bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako.Ulimrejeshea Yakobo baraka zake.85:1 Au: Uliwarudisha mateka wa Yakobo.
7Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana,utupe wokovu wako.
10Upendo na uaminifu hukutana pamoja,haki na amani hubusiana.
12Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.
13Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
17Amri yangu ndiyo hii: Mpendane.